KAKA WA P-SQUARE ‘JUDE OKOYE’ AMCHUMBIA KIFAA CHAKE CHA UKWELI

Lagos, Nigeria. Meneja na kaka wa pacha wawili wanaounda kundi la P-Square ‘Jude Okoye’,  hapo jana alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, zoezi lililokwenda sambamba na kumvisha pete ya uchumba mwanandani wake aliyedumua nae kwa takribani muda wa mwaka mmoja, aliyetajwa kwa jina la ‘Ifeoma Michelle Umeokeke’ ambaye ni mjuzi wa masuala ya urembo na muandaaji wa matamasha makubwa.

Jude & IfyLovebirds : Jude Okoye na Ifeoma Michelle Umeokeke

Awali mdogo wake Jude ‘Ikechukwu’ ndiye aliyetangaza wawili hao kuchumbiana kupitia akaunti yake rasmi ya Twitter na kisha kwenda mbele zaidi kwa kuposti picha zilizoambatana na ujumbe wa pongezi. Nisikukatishe uonde, ebu tazama picha ya pete aliyovishwa na jinsi mambo yalivyojiri..

Jude Okoye GfKidonda alichovishwa mrembo Ifeoma Michelle Umeokeke na kaka mkubwa wa P-square ‘Jude Okoye’.

Jude1Mrembo Ify akiwa haamini baada ya kufanyiwa sapraiz na dady ake Jude.

Ifeoma Michelle UmeokekeMrembo na Mwanamitindo Ifeoma Michelle Umeokeke katika moja ya pozi Ifeoma_Michelle_Umeokeke Ify Jude Okoye

Hii ni siku alipohudhuria harusi ya kimila ya shemeji yake Paul Okoye na Anita   Jude Okoye Jude_ Okoye Mwanamke Sura….

 

Ify Umeokeke
Ify Umeokeke

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s