TASWIRA YA MIKOCHENI ILIVYOHARIBIWA NA MVUA ZA LEO

Mikocheni KisiwaniMvua  bado zinaendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya  jijini la Dar es salaam,  huku zikipelekea kusababisha majanga na foleni katika barabara kubwa ambazo hutumiwa  mara kwa mara.

Kwa upande wa barabara ya Mwai Kibaki inayoanzia kwenye mataa ya Morocco na kuishia Mbezi Beach afrikana kupitia njia ya chini,  imekuwa ni kero  kubwa kwa watumiaji wa barabara,   hasa hasa eneo la mikocheni-Kisiwani kuanzia Shoppers Plaza, Hospitali ya TMJ, MayFair Plaza mpaka Tanesco.

Blogu ya Larrybway91 imeweza kunasa baadhi ya picha ya hali halisi ilivyokuwa mchana wa leo kwenye maeneo yaliyotajwa hapo juu  baada ya mvua kufanya yake na kujikuta tukikaa kwenye foleni eneo hilo kwa takribani masaa 2 na nusu.

 

20140422_141936 20140422_141943 20140422_141949 20140422_142044 20140422_142141 20140422_142201 20140422_142211 20140422_142226 20140422_142234 20140422_142312 20140422_142418 20140422_142438 20140422_142606 20140422_142707 20140422_142806 20140422_143422 20140422_143429Katika picha ni kituo cha mabasi Mikocheni Kisiwani kikiwa kimefunikwa na maji.

20140422_143433 20140422_143438 20140422_143523 20140422_143533 20140422_143639 20140422_143755

 

20140422_143809

Pichani ni hali halisi ilivyokuwa katika  barabara ya Mwai Kibaki eneo la MayFair hii leo.20140422_143851 20140422_143900 20140422_143919 20140422_144009 20140422_144139 20140422_144148

Lango kuu la kuingilia MayFair Plaza.

20140422_144154

Maeneo ya Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni-Kisiwani.

20140422_144248 20140422_144255

Mambo ndio kama yanavyoonekana kwenye  parking za hospitali ya TMJ.

20140422_144300

Maji ya mvua yaliyochanganyika na ya majumbani eneo la TMJ Hospital

20140422_144326 20140422_144336 20140422_144517 20140422_144827Mikocheni kwa Nyerere.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s