PICHA : WASANII WA MUZIKI TANZANIA WAFANYA VIDEO YA WIMBO WA KUDUMISHA MUUNGANO

Muungano

Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya muungano, Wasanii wa fani ya muziki Tanzania wameungana kwa pamoja na kufanya video ya wimbo wenye dhima ya kudumisha umoja na mshikamano wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ambao ulitiwa saini na waasisi wa Taifa letu, Mzee  Julius Kambarage Nyerere na Mzee Aman Abeid Karume.

Kama ilivyo miaka  ya muungano na ndivyo hivyo idadi ya wasanii walioshirikiana kwenye wimbo huku kila mmoja akiwa ametupia vazi la Taifa,. Wimbo huo umejumuisha wasanii wa Bongo Fleva, Taarabu, Dansi, Gospel  na Raga.

Mkubwa fella Muungano _Tanzania  Muungano_Tanzaniano Muungano_wa_Tanzania Muungano1 Nikkwapili

Advertisements

One thought on “PICHA : WASANII WA MUZIKI TANZANIA WAFANYA VIDEO YA WIMBO WA KUDUMISHA MUUNGANO

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s