MADRID YAIBAMIZA BAO 1 – 0 BAYERN MUNICH

Mabingwa mara tisa wa kombe la Ulaya, kikosi cha Real madrid kimeonyesha  ubabe dhidi ya   Bayern Munich ya Ujerumani, baada ya kuicharaza bao moja kwa bila katika uwanja wao wa Stantiago Bernabeu.

Karim Benzema

Karim Benzema akishangilia bao alilopachika dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza cha mchezo

Mtanange huo uliokuwa  wavuta nikuvute, ulishuhudia  Madrid ikitawala zaidi mchezo huo kwa kulisakama lango kuu  la Bayern, hali iliyopelekea kuweza kupata  goli moja mnamo dakika ya 19′ kupitia mshambuliaji Karim Benzema huku wakikoswa koswa na Cristiano Ronaldo.

GuardiolaKwa Matokeo hayo yanaifanya Real Madrid kuwa timu ya kwanza kuongoza kwa pointi ikiwa na Pointi 3 kati ya timu nne zilizotinga hatua ya nusu fainali.

CR7Cristiano Ronbaldo akisikitika baada ya kutupia shuti kali lilogonga mwamba.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s