MTANGAZAJI KANDANDA MKONGWE WA ZAMBIA ‘DENNIS LIWEWE’ AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 78

Dennis-Liwewe

Dennis Liwewe enzi za ujana wake akitangaza mpira

Mtangazaji mkongwe wa Kandanda nchini Zambia, Dennis Liwewe amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali kuu ya Levy mwanawasa mjini Lusaka zambia.

Dennis Liwewe - Larrybway91

Mtangazaji wa kandanda ‘Dennis Liwewe’ kipindi cha hivi karibuni kabla ya kuaga Dunia

Mtangazaji huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 78 baada ya  kusumbuliwa na maradhi ya Ini. Msemaji  wa familia alisema taarifa zaidi zitatolewa baada ya kikao kilichofanyika leo mchana.

Liwewe atakumbukwa kwa umahiri wake wa kutangaza mpira katika kipindi cha miaka 45 akiwa tayari ameshatangaza zaidi ya fainali 14 za kombe la mataifa ya afrika.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Ameen

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s