MANCHESTER CITY YAILOWESHA BAO 3 – 1 WEST BROMWICH

Man CityHapo jana Klabu ya manchester City iliikaribisha West Bromwich katika dimba la Etihad  na kuishushia  kipigo cha bao 3 – 1 kupitia wachezaji wake Pablo Zabaleta, Martin Demichelis pamoja na Sergio Aguero,  huku goli la kufutia machozi kutoka kwa  Bromwich  likifungwa na   ‘Graham Dorrans’  na kufanya matokeo kuwa tatu moja.Zabaleta Man CityKwa matokeo hayo yanaifanya City ikamate nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu ya England,  ikiwa na pointi  74 nyuma ya Chelsea  na mbele ya  Arsenal  kwa tofauti ya pointi nne na kusalia na michezo minne mkononi .

Tazama Video za Magoli hapo chini

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s