JAY Z NA BEYONCE KUWALIPIA ‘KIMYE’ HONEYMOON YA KWENYE BOTI

Jay, Bey, Kanye, KimWaarabu wa pemba huwa na desturi ya kujuana kwa vilemba, licha ya maneno maneno kuzagaa huku na kule tangu Jay Z na Beyonce kutangaza kutohudhuria harusi ya Rapa Kanye na kim kwa kile kilichotajwa kuwa ni kutotaka kuuza sura  kwenye kipindi cha familia ya Kardashian ‘Keeping up with the Kardashian’…

Hatimaye wakali hao wa Drunk in Love, wamefunguka na kukana shutuma hizo huku wakiahidi kuwalipia  boti ya kifahari  aina ya Yatch,  watakayotumia kipindi cha fungate lao ‘HoneyMoon’,  huku kiasi cha kukodi boti iyo kikitajwa kuwa ni dola za kimarekani 168,000 bila chenji.

Mbali na mbwembwe hizo,  mmiliki huyo wa mavazi ya Rocawear ameahidi kumuangushia bonge moja ya pati la kibachela(bachelor party) kwenye moja klabu zake anazomiliki za 40/40 iliyopo jijini Manhattan ikiwa ni katika kumuaga rafiki yake huyo wa kitambo kirefu na kumkaribisha kwenye maisha ya mapya.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s