PICHA : JACK WA CHUZ NI MAMA KIJACHO

Jack Pentzel akiwa na mume wake Gadner Dibibi

Muigizaji nyota wa filamu Bongo Movie, Jack Pentzel al maarufu kama Jack wa Chuzi, kwa sasa ni mama kijacho ei kei ei mjamzito. Kwa mujibu wa mtandao wa Hassybaby ulidai kwamba, marafiki wa karibu wa mume wa mkali huyo aitwae Gadner Dibibi, wamedhibitisha hilo ingawa haikuweza kufahamika ni ujauzito wa miezi mingapi.

 

Mume wa Jacque Pentzel Gadner Dibibi alishea  picha katika ukurasa wake wa facebook akiwa pamoja na mkewe na kuwatakia pasaka marafiki zake na marafiki wengi walimpa pongezi kwa kumwambia “hongera tunaona shemeji tayari”, ingawa ajajibu kitu na juhudi za kumpata Jacque mwenyewe au mumewe bado zinaendelea.

 

Advertisements

One thought on “PICHA : JACK WA CHUZ NI MAMA KIJACHO

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s