BOKKO HARAMU YAWASHIKILIA WANAFUNZI WA KIKE WAPATAO 200 NCHINI NIGERIA

Nigerian children at school.Msako mkali bado unaandelea wa Wanafunzi wa kike zaidi ya mia moja waliotekwa nyara jumatatu iliyopita katika jimbo la Bono nchini Nigeria na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni wanamgambo wa  Bokko Haramu,  huku wazazi wengine wakilazimika kuingia msituni kuwatafuta watoto zao.

Mpaka sasa takribani ya wanafunzi mia mbili  hawajulikani walipo , ambapo mwalimu mkuu wa shule ambako wasichana hao walitekwa amewaomba wakuu wa serikali wafanye jitihada  zaidi kukomboa wasichana hao.

Mwalimu huyo ambae jina lake halikuweza kupatikana mara moja pia ameliomba kundi linalowashikilia wasichana hao kuonyesha huruma wasichana hao na kuwaachia huru.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s