SHILOLE NA MZIWANDA UTASEMA J.LO NA CASPER SMART, EBU WATAZAME UONE

Shilole na Nuhu Mziwanda

Shilole na Nuhu Mziwanda

Uzee Mwisho Mdahalo, mjini kila mtu baby ake, na siku zote mapenzi hayachagui dini wala kabila, Licha ya toffauti ya umri uliopo baina yao, mkali wa kibao cha Chuna Buzi Shilole na usingizi  wake ‘Nuhu mziwanda’ wameonekana wakionyesha mapenzi motomoto kadri siku zinavyozidi kwenda, hali iliyotafsiriwa huenda wakachukuana jumla jumla.

Akionyesha kila dalili za kunogewa na penzi la shishi bebi ei kei ei Shilole Kiuno, mwanamuziki Nuhu Mziwanda alionekana akiwa na uso wa furaha wakati alipokuwa  akicheza sambamba na watoto wa laaziz wake kwenye bwawa moja la kuogelea.

Unaweza ukatazama baadhi ya picha alizoshea Shilole kwa mashabiki wake kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram. ”Am in love with dis picture.Dady na watoto wake”. Aliandika Shilole. Pendeza sana,  utasema Jlo na Casper Smart..

 

Nuhu Mziwanda

Nuhu Mziwanda akiwapa ulinzi watoto wa laazi wake Shilole wakati walipokuwa wakichezea maji

Shilole_Kiuno

 

 

 

Advertisements

One thought on “SHILOLE NA MZIWANDA UTASEMA J.LO NA CASPER SMART, EBU WATAZAME UONE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s