PRODUCER P-FUNK MAJANI AVUTA JIKO

P-Funk

Mtengenezaji nguli wa midundo ya Hip Hop na mmiliki wa studio ya Bongo Records,   Paul Matthysse  AKA ‘P-funk  Majani’ aliyekuwa zilipendwa wa muigizaji nyota Kajala Masanja, hatimaye amefunga ndoa halali ya kidini hapo jana na kuagana rasmi na maisha ukapela.

Mrs Matthysse’s turn to put a ring on my finger.” aliandika Majani kupitia ukurasa wake wa Instagram. Blogu ya Larrybway91 inawapa hongera Mr& Mrs Matthysse’s kwa hatua nzuri waliyofikia.

Pfunky

Bwana na Bi Matthysses wakivalishana pete za ndoa

PMajani

 

P_ Majana   Parveen & Tycoon Shah ni miongoni mwa watu wa karibu wa P-Funk waliohudhuria sherehe hizo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s