CHRIS BROWN APIGWA TAFU MAHAKAMANI NA MCHUMBA WAKE PAMOJA NA BOW WOW

Marafiki wa kweli utawajua pale unapopatwa na matatizo, Mama mzazi wa  Chris Brown ‘Joyce Hawkins’ aliyekuwa ameambatana pamoja na mkwe wake ‘Karrueche Tran’, Rapa Bow Wow na Tank wameonekana kwenye viunga vya mahakama jijini Washington DC ikiwa ni katika hali ya kumpa kampani jembe lao.

cb1Mchumba wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ (Wa kwanza kushoto) akiingia mahakamani pamoja  na mama mzazi wa Brown ‘Joyce Hawkins’ aliyevalia koti jeusi.

Mkali huyo anayesumbua na ngoma ‘Loyal’ ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha mwezi mmoja gerezani kufuatia makosa ya uvunjaji sheria aliyoyafanya pindi alipokuwa Rehab.

Hata hivyo jaji aliyekuwa akitarajiwa kutoa uamuzi dhidi ya kesi hiyo kwa mlinzi wake ‘Christopher Hollosy’ siku ya Ijumaa alichelewa na kesi kuahirishwa hadi jumatatu. Kesi ya Chris itaanza kusikilizwa Jumatatu.

Bow WowBow Wow akiwasili mahakama kumpa sapoti mshikaji wake huyo wa kitambo kirefu

KaruecheKarrueche Tran

 

 

TankMwanamuziki Tank nae alikuwa miongoni mwa watu waliojitokeza mahakamani kumpa kampani Brown.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s