WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KWENYE KIVUKO CHA SOWEL WAMCHENJIA NAHODHA WA MELI HIYO.

Kivuko cha korea kusiniJuhudi za kukoa watu waliozama kwenye kivuko cha Sowel, Korea Kusini bado zinaendelea huku watu waliopoteza ndugu na jamaa zao wakimjia juu kiasi cha  kutaka kumpa kichapo nahodha wa ferry hiyo ‘Lee Joon-Seok’.

Miongoni mwa abiria 475 na wafanyakazi wa kivuko hicho ni watu 179 pekee ndio waliookolewa na wengine 271 hawajulikani walipo hadi hivi sasa.

Serikali ya Korea kusini imeendelea na utafutaji wawatu waliosalia kwa kutumia nyambizi kukipekua kivuko hicho kilichozama. Wapiga mbizi wamekuwa wakikabiliana na upepo mkali pamoja na mawimbi kujaribu kukifikia chombo hicho.

SowelMashua moja ya wavuvi iliweza kuwaokoa watu watatu ambao walikuwa wanapelekwa na maji ingawa kuna taarifa zinazosema kuwa chombo hicho kilikwenda mrama licha ya abiria  kuhoji mchango wa nahodha wake ambaye aliomba radhi kituo cha polisi na kudai kufedheheshwa na tukio hilo.

Katika mkusanyiko mmoja wa jamaa, bibi aliyempoteza mjukuu wake aliomba dua ili mjukuu huyo aweze kupatikana, ”Uko wapi Jing Yong nategemea urejee nyumbani pamoja na mama yako na baba yako ukiwa mzima”.

Sewol3

Sewol1

Sewol2

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s