AZAM FC YASHEREKEA UBINGWA WA LIGI KUU NA WATOTO YATIMA.

Azam Fc

Mabingwa wa soka Tanzania Bara 2013/14, Wanalambalamba wa Azam wameadhimisha sherehe za ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara kwa kukitembelea kituo cha watoto yatima na wale waishio kwenye mazingira magumu kilichopo Chamanzi Magenge leo mchana na kisha kuwapa nafasi watoto hao kula na kupiga picha na mastaa wa timu hiyo.

Kama hali halisi inayojionyesha,  Viongozi na Wachezaji wa kikosi cha Azam Fc wakiwa wamejumuika pamoja watoto hao ikiwa ni katika hali ya kuonyesha upendo juu yao na kuwathamini kwani wao ni kama binadamu wengine.

aZAM fC1 Azam Fc2 Azam Fc3 Azam Fc4Azam Azam_

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s