SKYLIGHT BAND YAPATA PIGO, MPIGA GITA WAO AFARIKI DUNIA GHAFLA.

Mpiga gitaa Skylight Band Chiri Challa afariki ghafla

Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.

Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa bendi hiyo kuwa mpiga gitaa huyo machachari amefariki baada ya kuugua kwa siku mbili ugonjwa wa kupooza nusu ya mwili wake na kuepelekea kutofanya kazi ipasavyo.

Kwa mujibu wa Meneja wa bendi hiyo  Aneth Kushaba AK47 Ugonjwa wa kupooza ulipelekea mishipa ya damu kichwani kupasuka hivyo na kumsababishia maumivu makali  sehemu kichwani.

10268531_10152035773597864_7736400417218686840_nKutokana na msiba huo uongozi unapenda kutoa taarifa kuwa Show ya Escape One iliyokuwa ifanyike Alhamis ya April 17 imeahirishwa hata hivyo uongozi unasikitika kumpoteza msanii huyo ambaye alikuwa ni kiungo muhimu wa bendi na inaungana na familia ya marehemu Chiri Challa kuomboleza kifo cha mpendwa wao na inatoa pole kwa familia na mashabiki wa Skylight Band na wapo bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu.

Msiba na shughuli za mazishi zinafanyika maeneo ya Mwanyamala Ujiji mtaa wa Mpunga.

Chanzo : Mo Blog

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

SALEH JEMBE

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

Father Kidevu

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

Bamiza | News Blog

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

Maishakiasi

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

DEWJIBLOG

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

JESTINA GEORGE

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

ShaffihDauda

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

millardayo.com

millard ayo

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

DJCHOKAblog: Tanzania's Entertainment Blog

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

JamiiForums | The Home of Great Thinkers

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

MICHUZI BLOG

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY