REAL MADRID YATWAA KOMBE LA COPA DEL REY BAADA YA KUITANDIKA BAO 1 – 2 BARCELONA.

Hatimaye watani wa jadi, Timu ya Real Madrid na Barcelona walikutana hapo jana katika fainali ya 110 ya Copa Del Rey iliyochezwa kwenye dimba la Valencia ‘Mestalla. Katika mchezo huo, Real Madrid iliweza kuilowesha Barca kwa kipigo cha bao 1 – 2  na kuifanya iweze kunyakua kombe hilo.

Dogo MadridMchezaji wa Madrid Angel Di Maria akishangilia baada ya kuiandikia timu yake bao la kwanza .

Wafungaji wa Madrid walikuwa ni kiungo wa kati Angel Di Maria na Gareth Bale huku Barca ikijipatia goli lake kupitia Barta amnamo dakika ya 68 ya kipindi cha pili cha mchezo.

BarteBartawa Barcelona akishangilia bao lake la kwanza.

Gareth BaleBaleFurahaWachezaji wa kikosi cha Madrid wakimnyanyua juu kocha wao baada ya ushindi.

CR7Cristiano Ronaldo ambaye hakucheza katika mchezo huo akiwa ameshikilia kombe.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s