WATU WATATU WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA BARCLAYS.

Barclays bank yavamiwa na majambaziDar es salaam, Tanzania. Watu watatu wanodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na pikipiki aina ya Boxer na silaha za moto, waliingia ndani katika benki ya Barclays tawi la Kinondoni majira ya saa 3 asubuhi na kufanikiwa kuiba fedha ambayo kiasi kamili hakijafahamika hadi sasa.

Baadhi ya wakazi wa jiji waliokuwa katika eneo hilo wameshauri jeshi la polisi  kanda maalum ya Dar es salaam kuhakikisha kuwa benki zote jijini na nchini zinalindwa na askari polisi ambao watakuwa na silaha za moto tofauti na makampuni ya watu binafsi ambao askari wake wanakuwa hawana silaha bali ni virungu.

”Hakuna sabbau ya kuwa na walinzi kabisa, afadhali serikali na jeshi la polisi wajipange kuchukua nafasi hizo. alisema mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s