MKE WA RAIS WA KENYA AWEKA REKODI YA KUSHIRIKI MBIO NDEFU LONDON UINGEREZA.

 Kenya1Mke wa Rais wa sasa wa Kenya, Magret Kenyatta ameweka rekodi nzuri ya kuwa mke wa kwanza wa Rais kuweza kushiriki mashindano ya mbio ndefu jijini London Uingereza ‘london Marathon’  za kilomita 42 na kuweza kumaliza  kwa kutumia muda wa saa saba na dakika nne.

Baada ya kumaliza mbio hizo, Bi magret alipongezwa na mumewe Rais Uhuru kenyatta pamoja na raia wa Kenya waishio nchini Uingereza huku lengo lake likiwa ni kuchangisha kiasi cha fedha kwa ajili ya mfuko wake unaolenga kupunguza vifo vya wamam wajawazito na watoto wachanga.

Mke wa Kenyatta2

Mke wa Kenyatta marathon LondonMke wa KenyattaMke wa Kenyatta1

Mke wa Kenyatta UingerezaBi Magret Kenyatta akipongezwa na mumewe Rais wa kenya, Uhuru Kenyatta baada ya kumaliza mbio za London Marathon.

  Kenyatta5     Hapa akipongezwa  na Raia wa kenya aishie Uingereza pamoja na viongozi walioandaa mashindano hayo, kushoto aliyevaa miwani ni mtoto wa kiume wa Rais kenyetta, Muhoho Mke wa kenyatta3

Mambo poa

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s