ARSENAL YAICHABANGA BAO 3 – 1 WESTHAM UNITED

Arsenal 3 - 1 Westham

Washika mtutu wa jiji la london, timu ya Arsenal imeweza kuibuka mbabe baaada ya kuichapa goli 3 – 1 vibonde Westham United katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Emirates.

WestHam United

Magoli mawili ya Arsenal yalifungwa na Lukas Podolski na moja kutoka kwa Oliver Giroud, wakati kwa upande wa Westham, mchezaji Matthew Jarvis aliweza kuipatia timu yake  goli moja la dawa.

Tazama video za magoli hapo chini

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s