BREAKING NEWZZZ : MAKAMU WA RAIS DK.BILAL, MKUU WA MKOA WA DAR NA KAMANDA KOVA WANUSURIKA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA.

Makamu wa rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Ghalib Bilal amenusurika katika ajali ya ndege aina ya helikopta iliyotokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati walipokuwa wakikagua athari za mvua katika mkoa wa Dar es salaam.Ajali ya Makamu wa Rais

Pichani ni ndege aliyopata nayo ajali makamu wa Rais baada ya kuanguka katika uwanja wa JNIA huku kikosi cha zimamoto kikijaribu kuzima moto wa ndege hiyo

Habari zinasema kuwa helikopta hiyo inayomilikiwa na jeshi la wananchi wa Tanzania, ilikuwa imebeba watu 4  akiwemo makamu wa rais Dk Bilal, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Mecky Sadick, kamanda wa polisi wa kanda maalum Dar es salaam ‘Suleiman Kova’ pamoja na mpiga picha wa TBC George Kasembe.

Helikopta hiyo ilipata ajali wakati ikianza kuruka hewani lakini ikashindwa kuendelea kupaa na kuanguaka. Hakuna mtu aliyepoteza maisha, zaidi ya kupata majeraha madogo madogo ambayo waliweza kupatiwa matibabu.

Ajali2

 

JNIA

 

 Picha na Jamii Forums

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s