AZAM FC NDIO MABINGWA LIGI KUU TANZANIA BARA 2013/14, WAILAZA MBEYA CITY 2 – 1.

Azam Fc

Wachezaji wa Azam Fc wakishangilia bao aliloshinda Mwaikimba kwa staili ya kipekee.

Kwa mara ya kwanza timu ya Azam Fc imeweka historia baada ya  kuibuka mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara kwa  kuifunga Mbeya City goli 2 – 1 katika uwanja wa Sokoine jijini humo na kufikisha pointi 59 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote katika mechi zilizosalia.

Bao la Mbeya City lilifungwa na Mwagane Yeya huku Gaudence Mwaikimba na John Bocco ‘Adebayor’ waliweza kuipatia Azam Fc ubingwa huo ikiwa ni kwa mara yao ya kwanza.

Wapinzani wao timu ya Yanga Sc imefanikiwa kuiadhibu  bao 2 -1 JKT Oljoro katika mchezo uliochezwa kwenye dimba la   Sheikh Amr Abeid   jijini Arusha na kuifanyaikamata nafasi ya pili ikiwa na pointi 55 mkononi.

 Tazama picha hapo chini uone mambo yalivyokuwa.

 

Picha kwa hisani ya Saleh Jembe

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s