UBUNIFU KUTOKA MOYONI : JOKATE MWANGELO AJA NA NDALA ZAKE.

Jokate

Jokate Mwangelo ‘Kidoti’.

Mtangazaji na mwanamitindo daraja la kwanza Tanzania, Jokate Mwangelo ametumia fursa yake ipasavyo,  baada ya kuja na bidhaa aina ya ndala zenye  jina la brandi yake ‘KIDOTI’ pamoja na picha ya sura yake.

Jokate NdalaMzigo wa Jokate kama unavyoonekana.

Monekano wa Ndala hizo ni mzuri na wakuvutia hasa kutokana na picha ya mwanamitindo huyo kupamba eneo la juu. Hii sio mara ya kwanza kwa Jokate kuingiza bidhaa sokoni, kwani hapo awali aliwahi kuingiza nywele za kidoti ambazo mpaka sasa zinaendelea kugombaniwa na wakidada wanaokwenda na wakati.

Keep up the Good Work KIDOTI.

Advertisements

One thought on “UBUNIFU KUTOKA MOYONI : JOKATE MWANGELO AJA NA NDALA ZAKE.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s