PICHA : ATHARI ZA MVUA JIJINI DAR ES SALAAM NA VITONGOJI VYAKE.

Africana1

Pichani ni barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Mbezi Beach, Africana .

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam  zimeonekana kuleta madhara makubwa  kwa wakazi wake  na hivyo kuwalazimu baadhi ya watu kuhama kwa muda kwenye makazi yao huku  wafanyaniashara wakilazimika kufunga fremu zao kutokana na maji mengi kuingia.

Blogu ya Larrybway91 imeweza  kunasa hali halisi ya maeneo mbalimbali yaliyokumbwa na  dhahama hiyo ya mvua.  ikiwemo maeneo ya Mbezi Beach, Mwenge, Mikocheni, Lugalo, Magomeni na Kariakoo. Tazama picha hapo chini.

Africana2Hali halisi   inavyojieleza eneo la Africana.

Africana3 Africana4 Africana5

Africana6Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji eneo la Mbezi beach Samaki.Mbezi Beach SamakiMbezi beach Samaki.

Daraja La Lugalo

Mto Kawe unaotenganisha Mbezi Beach na Lugalo.

 Daraja la Lugalo2

Daraja la Lugalo1

Katika picha ni daraja linaunganisha Mwenge na Lugalo.

Mwenge BarBar moja iliyopo eneo la stendi ya mabasi Mwenge ikiwa imefungwa kutokana na majanga ya mvua.

Mwenge FremuMoja ya Fremu inayouza ving’amuzi  iliyopo Mwenge ikiwa imezingirwa na maji.

Mwenge Showroom

Mwenge hakunagaHali inatisha mwenge.Mwenge Hali InatishaFremu za biashara zilizopo eneo la Mwenge zikiwa zimefungwa  kutokana na mvua kubwa inayoendelea knyesha.

Mwenge Kama kawaida Mwenge Kwisha habari

Mwenge Mvua copyMwenge mvua TishiaMwenge MikocheniHali inatisha, Mwenge hiyo
.

Mwenge Foleni

Mwenge Bamaga  Foleni ikitokea mwenge kuelekea Bamaga.

Bamaga Foleni

  Foleni barabara ya New Bagamoyo, eneo la Bamaga Mwenge.

Mvua Nishidah

Unaweza ukasema ni filamu, ila ndio hali halisi, kijana akijaribu kumnususru mwanadada aliyetaka kusombwa na majiMvua yawachukua watuUmoja ni nguvu, ilibidi asaidiwe  na wasamaria wema.

Mvua HiyoUshindi tayari, baada ya uokoaji.

MikocheiniBarabara ya mwai Kibaki eneo la  Mikocheni kwa nyerere.Mikocheni kwa Mwl JKMikocheni kwa Nyerere Mikocheni Kwa Nyerere maji ya mvua MikoChenii Mikochenio Eneo la Mwl JkHali halisi ya Mikocheni kwa Nyerere hii leo.

Mikocheni MayFair PlazaEneo la mayfair plaza Mikocheni kisiwani.Mikocheni Regency HotelBarabara ya Mwai Kibaki eneo la mikocheni – Regency .

Daraja la BagamoyoDaraja linalounganisha mkoa wa pwani na Dar es salaam baada ya kusombwa na maji na hivyo kuwapa adha wasafiri wanaotumia daraja hilo hasa wale wanaotokea  Bagamoyo kuingia jijini Dar es salaam.

Jijini DarGari la serikali likiwa limetumbukia kwenye barabara iliyosombwa na maji.

Kariakoo1Mitaa ya Kariakoo Sokoni.Mwenge SokoniSoko la Mwenge Afrikasana likiwa limezingirwa na maji.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s