NUSU FAINALI YA UEFA : MADRID KUVAANA NA BAYERN, CHELSEA KIUFUATA ATLETICO ‘VICENT CALDERON’.

Champions LeagueHatimaye ratiba imetoka ya timu zitakazomenyana katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ya ulaya.

Mabingwa mara tisa wa klabu bingwa ya Ulaya timu ya Real Madrid itawakaribisha  nyumbani wapinzani wao Bayern Munich ‘The Bavarian’ katika mchezo wa mkondo wa kwanza utakaochezwa April 23  na kurejeana tena baada ya siku nane baadae.

Nusu fainali ya pili itakuwa kati ya Atletico Madrid itakialika kikosi cha ‘The Blues’ Chelsea’ kwenye dimba lao la ‘Vicent Calderon’ April 22 na baada ya siku nane  watawafuata darajani  Stamford Bridge.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s