CHEKA KUKIPIGA NA MUIRANI, MIYEYUSHO KUMKABILI MTHAILAND NDANI YA UKUMBI WA PTA LEO.

Bondia6Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba. kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran. Picha zote na Super D

Dar es Salaam, Tanzania. Bondia wa Tanzania Francis Cheka atapanda ulingoni leo katika ukumbi wa TPA Sabasaba kukipiga na bondia Gavad Zohrehvand kutoka nchini Iran mwenye rekodi ya kcheza mapambano 14 na kpoteza pambano 1 tu.

huku bondia Francis Miyeyusho akionyeshana kazi dhidi ya bondia toka Thailand ‘Sukkasem Kietyongyuthmwenye rekodi ya kucheza mapambano 13 bila kupoteza pambano hata moja.

Bondia4Bondia Fransic Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi  Bondia5Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand  (kushoto) akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 12 katika ukumbi wa PTA

Bondia2Bondia Ibrahimu  ‘King Class Mawe’ akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam 

Bondia1Bondia Mustafa Dotto (kushoto)  akitunishiana misuli na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi .

Bondia3Bondia Sukkasem Kietyongyuth kshoto akiwa na kocha wake Win Panyaparichot wakati wa upimaji uzito

Picha kwa hisani ya Superboxingcoach.blogsport.com

 

Advertisements

One thought on “CHEKA KUKIPIGA NA MUIRANI, MIYEYUSHO KUMKABILI MTHAILAND NDANI YA UKUMBI WA PTA LEO.

  1. Pingback: BONDIA FRANCIS CHEKA ATOBOA SIRI ZA USHINDI, ADAI HUJIAMINI KUPANDA ULINGONI AKIKAA SIKU 40 BILA KUKUTANA NA MWANAMKE. | larrybway91

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s