PAUL OKOYE WA PSQUARE AMUANGUSHIA BETHIDEI YA NGUVU MTOTO WAKE.

Ni jambo la furaha kwa  mzazi anapoona mtoto au watoto wake wakiwa kwenye hali ya furaha muda wote, katika kuonyesha upendo wa dhati aliokuwa nao juu ya mwanae,  mwanafamilia anayetokea katika kundi la Psquare, mwanamuziki ‘Paul Okoye’ na mkewe aliyefunga nae  ndoa hivi karibuni ‘Anita’ wamemuangushia sherehe ya nguvu mtoto wao kipenzi wa kwanza wa kiume  ‘Andre’ katika siku yake ya kuzaliwa baada ya kufikisha umri wa mwaka mmoja tangu aanze kutumia hewa ya bure ya oksijeni.

Peter OkoyeAnita, Andre na Peter Okoye

Wazazi hao walipata nafasi ya kumlisha keki mtoto wao na kisha kufuatiwa na watoto wenzake waliojumuika nae pamoja ili  kufanikisha zoezi zima la kata keki tule, fanya kutazama picha hapo chini.

Peter Okoye, Anite na AndreKata keki tuleeee..

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s