HAWA NDIO MASTAA WAKUBWA DUNIANI WALIOZALIWA TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO.

Kwa wale wafuatiliaji wa filamu hawatakuwa wageni wa jina la ‘Steven Frederic Seagal’ aliyezaliwa Aprili 10 mwaka 1952  eneo la Lansing Michigan, nchini Marekani. Mbali na sanaa ya uigizaji, Seagal pia ni Mwanamuziki, mtunzi na muandaaji  wa filamu na afisa polisi wa kitengo cha dharura cha Sherriff. Leo anasharekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza nyundozz 62 duniani.

 SeagalSteven Seagal

Staa mwingine aliyezaliwa tarehe na mwezi kama wa leo  ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya  Brazil na Real madrid, ‘Roberto Carlos da Silva Rocha’ aliyezaliwa miaka 41 iliyopita katika jiji la Sao Paulo, kitongoji cha Garca nchini Brazil..

Mastaa waliozaliwa tarehe na mwezi kama wa leoRoberto Carlos

Blogu ya Larrybway91 inawatakia maisha marefu Seagal, Carlos  na kwako wewe mtembeleaji wa blogu yetu ambaye umezaliwa tarehe na mwezi kama wa leo. Happy Birthday to you…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s