LADY JAYDEE ASHIRIKI KWENYE WIMBO MAALUM KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2014.

Lady Jay Dee

Lady Jay Dee

Malikia wa muziki wa kizazi kipya nchini, Judith  Wambura ‘Lady JayDee’ kupitia kampuni ya Coca-Cola Tanzania  amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo maalum kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia itakayofanyika Brazil  mwezi juni mwaka huu.

Coca

Octopizzo, JayDee na David Correy.

Wimbo huo uliopewa jina la ‘FIFA WOLRD CUP ANTHEM’ staa wa  ‘Joto Hasira’ ameshirikiana na rapa Octopizzo kutoka Kenya pamoja na muimbaji wa Brazil ‘David Correy‘. Katika wimbo huo,  JayDee na Correy wameimba kwa lugha ya kiingereza wakati Octopizzo akiwa amechana kwa lugha ya kiswahili. Kibao hicho kilitambulishwa  jana wakati wa promosheni ya jishindie kwenda Brazil iliyoandaliwa na  Coca-Cola.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s