CHELSEA NA MADRID ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI UEFA, PSG NA DORTMUND CHALI.

Chelsea

Wachezaji wa Chelsea na meneja wa timu hiyo wakimpongeza Demba ba kufuatia bao la ushindi alilofunga dakika za lala salama.

Siku ya jana ilikuwa ya furaha kwa kikosi cha Chelsea baada ya kupata tiketi ya kuelekea hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa kuitandika timu ya Paris-Saint German bao 2 – 0 kwenye dimba la Stamford Bridge. Magoli ya Chelsea yalifungwa na ‘Andre Shurrle’ dakika 32′ na Demba ba dakika ya 87′ na kumfanya kocha Jose Mourinho kulipuka na shangwe za ajabu.

Marco Reus wa Dortmund akishangilia bao alilofunga dhidi ya Madrid hapo jana.

Marco Reus wa Dortmund akishangilia bao alilofunga dhidi ya Madrid hapo jana.

Madrid ilifanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kwa mbinde kwa kukubali kichapo cha bao 2 – 0 kutoka kwa Borussia Dortmund licha ya ushindi huo haukuweza kufua dafu kutokana na Madrid kuongoza kwa idadi ya magoli baada ya kumfunga nyumbani kwake bao 3 – 0.Marco Reus  aliifungia timu yake mabao 2 mnamo dk ya 24′ na 37′ kipindi cha kwanza cha mchezo.

Mshambuliaji hatari Cristiano Ronaldo akipiga picha na mashabiki wa Drtmund.

Mshambuliaji hatari Cristiano Ronaldo akipiga picha na mashabiki wa Drtmund.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s