TIMU YA WATOTO WA MTAANI YA TANZANIA YANYAKUA UBINGWA WA DUNIA NCHINI BRAZIL.

Watoto wasiokuwa na makazi hata mlo usiokuwa na uhakika, timu ya watoto wa mtaani ya Tanzania iliyokuwa nchini Brazil, usiku wa jana illiizaba Burundi bao 3 – 0 na kutwaa ubabe wa Dunia. Magoli yote yalifungwa ya Tanzania yaliwekwa wavuni kupitia mshambuliaji wake Frank Williams.

Tanzania1Timu ya watoto wa mtaani ya Tanzania katika picha ya pamoja.

Baada ya kunyakua ubingwa huo, wadau na wapenzi wa soka waliwamwagia sifa na kuishauri serikali pamoja na shirkisho la mpira Tanzania TFF kuwachukua na kuwatunza vijana hao kwa kuwaweka kambini kwa ajili ya manufaa ya hapo baadae. Kikosi hicho kinatarajia kurejea jijini Dar es salaam Aprili 10   saa 10 jioni na ndege ya shirika la Emirates katika uwanja wa JNIA.

Tanzania

Watoto wa mtaani baada ya kunyakua ubingwa sambamba na bosi wao Mutani Yangwe.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s