PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA MIWILI YA KIFO CHA HAYATI STEVEN KANUMBA NDANI YA DAR LIVE.

B1

Jacob Steven ‘JB’ akionyesha uwezo wake wa kucheza ngwasuma.

Wasanii na wadau wa tasnia ya filamu Tanzania, waliadhimisha miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha muigizaji nyota, hayati Steven Kanumba pamoja na uzinduzi wa foundation yake uliofanyika kwenye ukumbi wa dar Live mbagala  uliopewa jina la kanumba Day . Maadhimisho hayo yalikwenda sambamba  na burudani ya aina yake  iliyotolewa na wanamuziki mbalimbali pamoja na waigizaji wa Bongo movie.

B2Muigizaji na muongozaji Adam Kuambiana akisakata rumba.B3mvunja mbavu ‘Mtanga’ kumbe naye yumo.B4Mama wa marehemu ‘Steven Charles kanumb’a akiwa ameshika picha ya mtoto wake.

B5

Kulwa Kikumba ‘Dude’ nae aliungana na waigizaji wenzake.B6

Flora MvungiB7Rais wa shirikisho la filamu Tanzania ‘TAFF’  Simon Mwakifamba

Picha kwa hisani ya Bongo Movies

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s