NIGERIA YASHIKA NAFASI YA KWANZA KIUCHUMI BARANI AFRIKA, YAIPIGA BAO AFRIKA KUSINI.

Jiji la Lagos, Nigeria katika picha

Jiji la Lagos, Nigeria katika picha

Nigeria imetajwa kuwa nchi ya kwanza kuongoza kiuchumi barani Afrika na kuipita Afrika kusini iliyokuwa ikishikilia nafasi ya kwanza hapo awali.

Kwa mujibu wa takwimu zilizotangazwa na waziri wa fedha wa Nigeria, Ngozi okondwe ileyala alisema ‘’Nigeria ni nchi inayodhalisha mafuta kwa wingi barani Afrika na hivi sasa inachukua nafasi ya 26 katika orodha ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani’’.

Wakati huo huo shirika la fedha la kimataifa ‘IMF’ pamoja na mashirika mengine ya fedha ya kimataifa yameidhinisha takwimu mpya za GDP ambazo zimeifanya nchi hiyo kuongoza kiuchumi barani afrika.

Pato la taifa ka Nigeria kwa mwaka jana liliongezeka na kufikia dola za kimarekani bilioni 509.9 ikiwa ni juu ikilinganishwa na Afrika kusini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s