BIRDMAN AMZAWADIA JUSTIN BIEBER BUGATTI.

Birdman na Justin Bieber

Birdman na Justin Bieber

Muanzilishi na mmiliki wa studio ya Cash Money, rapa mjasiriamali Brayan Williams(45) ‘BirdMan’ amemzawadia mwanamuziki wa R&B, Justin Bieber gari ya kifahari aina ya ‘Bugatti Veyron’  yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 2 alilokuwa akitumia hapo awali.

“Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity,” aliandika Justin Bieber kwenye ukurasa wake wa Instagram sambamba na kuweka picha ya mkoko huo wa bei chafu.

 

Katika picha ni gari aina ya Bugatti aliloposti Justin Bieber Instagram

Katika picha ni gari aina ya Bugatti aliloposti Justin Bieber Instagram baada ya kupewa kama zawadi na Birdman.

 

 Kwa wale wafuatiliaji ni kwamba,  gari alilopewa Justin Bieber ndio alilolitumia BirdMan  kwenye video  ya wimbo wake wa ‘Fire Flame’  iliyotoka  mwaka 2010. unaweza ukautazama mkoko huo wa bei mbaya hapo chini.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s