SHABIKI AONYESHA MAPENZI YA DHATI KWA DIAMOND, AMWAGA MACHOZI NA KUOMBA KUPIGA NAE PICHA.

Hapa alikubaliwa na kufanikiwa kupiga nae picha.

Diamond katika picha ya pamoja na Shabiki aliyelia kumuona na kuomba kupiga nae picha.

Ni jambo la kawaida kuwatokea watu maarufu hasa wale wenye mvuto mkubwa kwa jamii kama vile wanamuziki, wacheza filamu au wanamichezo kukutana na mashabiki wenye mapenzi makubwa  nao.

Tukio lililotekea usiku wa Aprili 06 ndani ya Club Billicanas wakati wa uzinduzi wa video ya Quuen Darleen ”WANATETEMEKA’ kuhusu shabiki aliyediriki kumwaga machozi akitaka amuone Rais wa watu wasafi, mwanamuziki Diamond Platnumz na kuomba kupiga nae picha .

Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana aliyeangua kilio  akishinikiza anione na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani ninawatu out there walio upande wangu,watu wanaonipenda kwa dhati kabisa”. Aliandika Diamond Platnumz kupitia tovuti yake.

 

Shabiki akilia bada ya kumuona Diamond.

Shabiki akilia baada ya kupata nafasi ya kumuona.

Diamond na shabiki katika picha ya pamoja.

Shabiki akiona kama ndoto vile kukutana na Diamond.

Shabiki akiwa haamini macho yake.

Shabiki akiwa haamini macho yake kama kweli Diamond amekubali ombi lake.

Diamond akimuaga kwa kumpa tano shabiki aliyelia kwa ajili yake.

Diamond akimuaga kwa kumpa tano shabiki aliyelia kwa ajili yake.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s