KANUMBA DAY : HIVI NDIVYO WASANII WA FILAMU WALIVYOMUENZI MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

Kanumba1 Ni miaka miwili imepita tangu  muigizaji  mashuhuri wa Tanzania, Steven Charles Kanumba kufariki dunia ghafla April, 07 201 hali iliyopelekea kuwashtua watu wengi kutokana na staa huyo kujizolea umaarufu mkubwa kwa mashabiki. 

Na hivi ndivyo wasanii wenzake wallivyomuenzi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram, Twitter na Facebook.

ELIZABERT MICHAEL ‘Lulu’.

Lulu1

”Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu” Aliandika Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram.

JACKLINE WOLPER ‘GAMBE’

Muigizaji Jackline Wolper aliyekuwa miongoni mwa wasanii waliotembelea kaburi la Kanumba leo, aliweka picha akiwa  makaburi na kuandika ”Steven Kanumba”.

JW

KULWA KIKUMBA ‘DUDE’

K1

 

WASTARA

Kwa upande wa Wastara aliposti picha hii Facebook.

Wastara

DIDA

Staa mwingine  aliyekuwa rafiki wa karibu wa marehemu kanumba, Mtangazaji Dida Shaibu wa Times Fm  alipost hiki kwenye akaunti yake rasmi ya Instagran.

Dida1”Hatuwezi kusema mengi tutamkufulu mungu ila tulipenda ungekuwepo mpk leo mungu kakupenda zaidi ni miaka miwili sasa tangu utangulie mbele za haki tutakukumbuka daima kanumba RIP MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI AMIN”..

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s