PICHA ZA SHOW YA MAFIKIZOLO UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM.

Ma6Mtangazaji wa kipindi cha Nirvana EATV, Deo akifanya mahojiano na mdau aliyehudhuria show ya Mafikizolo ukumbi wa Mlimani City.

 

Kundi la mafikizolo kutoka Afrika kusini wameangusha shoo ya nguvu usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam iliyohudhuriwa  na wapenzi wengi  wa burudani ambao waliweza kupata kile walichokitaka.

Katika shoo hiyo kulikuwa pia na red carpet ambapo watu walipata nafasi ya kupiga picha za kutosha na kwa wale waliobahatika waliweza kufanyiwa mahojiano  na kituo cha East Africa Tv kupitia watangazaji wake wa kipindi cha Nirvana, Lotus na Deo ndani ya Fashion police.

 

A2A3

Ma2

A4

A5DJ akiwakaribisha Mafikizolo stejini.

Ma5Ma1

A6

Theo wa Mafikizolo akiimba na kucheza staili ya ‘Khona’.

A1Diva wa Mafikizolo akiimba kwa hisia wimbo wa Happiness.

mA3

Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa ‘khona’ unaopendwa zaidi na mashabikimA4

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s