DIAMOND KUANGUSHA SHOW HOUSTON MAREKANI MAY 25.

DP1Diamond Platnumz anatarajia  kupiga show nchini Marekani  May 25 mwaka huu itakayofanyika  kwenye ukumbi wa AYVA Center uliopo katika mji wa Houston, Texas  sambamba na wacheza show wake.

Tamasha hilo limeandaliwa na  DMK Global,  J&P Ent na Safari Ent na tiketi tayari zimeshaanza kuuzwa  kwa njia ya mtandaoni kwa  dola za kimarekani 50/Tsh 80,000.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s