KIM KARDASHIAN AKERWA NA UBAGUZI WA RANGI ALIOTOLEWA KANYE WEST NCHINI AUSTRIA.

A trooper: Though he had insulted her, the Kardashian Kollection designer still took Lugner's arm as they walked into the event with mom Kris Jenner to her left

Kim K na Richard Lugner.

Mwanamitindo mrembo anayetokea katika familia ya Kardashian,  Kim K, alikumbwa na tukio lilionekana kumkera la ubaguzi wa rangi aliotolewa baba watoto wake, Kanye, baada ya kualikwa na bilionea Richard Lugner kwa kulipwa dola za kimarekani 500,000 kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalum  ya usiku ‘lavish Opera ball’ iliyofanyika katika mji wa Vienna ,  Austria.

Taarifa zinadai kuwa mwanzoni Kim alimpotezea mwanaume mmoja aliyekuwa amejibandika sura bandia nyeusi aliyeonekana kujifanya kama   baba mtoto wake, rapa Kanye west, wakati alipokuwa akipiga picha na bilionea Lugner .

Haikuishia hapo, Kim aliamua kumchomolea mwanaume mwengine aliyemwomba kucheza nae  kibao cha ‘Niggers in Vienna’ ikiwa ni kama dongo la kibaguzi kwa nyimbo ya ‘Niggers in Paris’ aliyoshirikiana Kanye West na  Jay Z.  Hata hivyo baada ya sherehe hizo kuisha, bilionea Richard alisema kwamba hakufurahishwa na kitendo cha Kim kuwachomolea vijana wake.

Hii sio mara ya kwanza kwa Bilionea huyo kuwaalika mastaa warembo ambao humsindikiza kwenye hafla hizo, baadhi ya warembo waliowahi kubahatika ni pamoja na Paris Hilton, Geri Halliwell,  Larry Hagman,  Pamela Anderson na wengine kibao.

Box seats: Kris and Kim took in the opera together from box seats

Kim akiwa na mama ake mpenda pesa, Kris Jenner.

The opera house is pictured on the evening of the Opera Ball in Vienna February 27, 2014. The traditional ball is opened by the Austrian president and features a musical programme with soloists and artists from the Vienna Philharmonic and State Ballet before the 144 debutants and debutantes lead into the festivities with a Strauss waltz. Tickets start at 250 euros ($340) and a box costs as much as 18,500 euros ($25,000). REUTERS/Heinz-Peter Bader  (AUSTRIA - Tags: SOCIETY)

High society: The attendees take to the dance floor inside as other watch on from above

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s