MCHUMBA WA NICK MINAJ AONGEZA TATTOO NYINGINE YENYE SURA YAKE.

Katika kutimiza ule msemo wa watoto wa mjini unaosema, Mahaba Niue,  Safaree Samwel ambaye ni mchumba wa muda mrefu  wa rapa wa kike anayetokea katika Crew tajiri ya Young Money, NiCk Minaj, ameongeza mchoro mwingine wa tattoo mwilini mwake wenye sura ya Minaj upande wa kulia wa kifua chake.

SB Gets Nicki tat

Safaree akionyesha Tattoo yake ya kwanza yenye sura ya Minaj .

Awali Safaree aliwahi kuchora tattoo  iliyokuwa na sura ya Minaj katika mkono wake wa kulia na kisha kuposti video mtandaoni. Baadhi ya wadau  waliopata nafasi ya kutoa maoni yao kufuatia kitendo hicho walimponda jamaa huyo kwa kudai kwamba anaweza akapata wakati mgumu endapo ikatokea wakaachana.SB Gets new tats of Nicki Minaj's face and name on his chest

Katika picha ni Tattoo yenye sura ya Nick Minaj kama inavyoonekana upande wa kulia wa kifua chake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s