DRAKE NA RIHANNA WAFUMWA TENA.

article-2566827-1BC7821300000578-294_634x809

Harufu ya kurudiana bado inaendelea kusambaa kufuatia mwanamuziki Rihanna na staa wa kibao cha Worse Behaviour, Drake, kuonekana jijini Paris, Ufaransa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa L’Avenue.

Hata ivyo Drake aliweza  kuondoka eneo la tukio pasipo kupigwa picha,  lakini kwa upande wa Rihanna ambaye licha ya kujitaidi kuziba uso wake na koti lake la manyoya,  haikuwa mwarobaini kwa mapaparazi ambao walikuwa tayari  wameshajipanga ivyo kuweza kumchukua picha za kutosha.. 

article-2566827-1BC7820400000578-322_634x816

article-2566827-1BC7821B00000578-727_634x765

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s