MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2013 YATOKA..

Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde akitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 Dar es Salaam jana.

Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 na kiwango cha ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012. 

Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.  

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.

Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549 

Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561

Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561

Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.

Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987. 

Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata ‘0’ (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.

MATOKEO

Advertisements

54 thoughts on “MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2013 YATOKA..

  1. Elimu inashuka hapa nchini maana viongozi wanachanganya elimu na siasa hawajyi Kuwait hiyo no taaluma

  2. Wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano na huku wamefaulu watawekwa wapi?

  3. second selection hakuna maana kuwaambia wanaona aibu wanaamua kuwauwa kihafsa “silent killing” kilichobaki tafuta private school au chuo

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s