VIDEO : BI MDADA AFANYA MAAMUZI MAGUMU BAADA YA KUTENDWA NA MPENZI WAKE SIKU YA VALENTINES

Mkasa huu wa kweli umemtokea bi mdada mmoja ambaye alitokea kufall in Love kwa jamaa mpaka ikafikia hatua ya kuamua kujichora Tattoo ya jina la laaziz wake  kwenye mkono wake ili kudhihirisha upendo aliokuwa nao juu yake.

Kama mjuavyo mapenzi yalivyo nowadays, ukiambiwa nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho na wa mwisho anakuwa wa kwanza,  ndio kilichomtokea bi mdada huyu baada ya jamaa kutafuta kila njia ya kumuacha kushindikana,  ndipo akaamua kumdanganya kuwa amepata kazi katika mji wa Alaska, hivyo itamlazimu asafiri na kwenda kuishi huko.

Bila kujua hili wala lile bi mdada akamsindikiza jamaa na kuhakikisha amekwea pipa akiamini kwamba wataendelea kuwasiliana kama ilivyo desturi ya wapendanao,  Mungu si Athumani baada ya siku moja yule dada akamuona mshikaji yupo na mwanamke mwengine,  nisikumalizie uondo,  ebu angaliavideo hapa ya kitu alichofanya mtendwa huyo…

Advertisements

One thought on “VIDEO : BI MDADA AFANYA MAAMUZI MAGUMU BAADA YA KUTENDWA NA MPENZI WAKE SIKU YA VALENTINES

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s