HII NDIO MITUPIO 10 YA KIUME AMBAYO HUWAVUTIA WAKINA DADA WENGI.

layering

Kuvaa sio jambo gumu ila shida inakuja pale ni nguo za aina gani mtu anapaswa kuvaa kulingana na mazingira na jinsi alivyo ili kuweza kuleta muonekano mzuri na wakuvutia  katika jamii inayotuzunguka,  wataalamu wa mambo ya mitindo wanawaelezea wanawake kama ni watu wanaopenda sana kuvaa na kupendeza japokuwa sio wote ila kwa asilimia kubwa wanajitaidi kwenye kutupia halikadhalika na wanaume.

Leo nimekuletea aina kumi za mitupio a.k.a nguo za jinsia ya kiume  ambazo hupendwa zaidi na wanawake endapo zikivaliwa kwa ufasaha na kufuata taratibu zote,  hivyo usije ukashangaa siku  ukiwa umevaa moja wapo ya mavazi haya ukawa unaangaliwa sana na watu wenye jinsia ya kike,  unaweza ukatazama hapa chini na kujifunza taratibu jinsi ya kutengeza muonekano mzuri kwa kutumia mavazi haya.

peacoat

10 Things Guys Can Wear To Win Over A Woman

leather

sneaks

suit gandy

denim

denim

flannel

adam

desert boots

Advertisements

One thought on “HII NDIO MITUPIO 10 YA KIUME AMBAYO HUWAVUTIA WAKINA DADA WENGI.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s