PICHA NA VIDEO : CHUMBA CHA MAAJABU KILICHOPO JUU YA DUNIA.

Image

Pichani ni mafundi wakiendelea kumalizia ujenzi wa chumba hicho.

Sayansi ya Teknolojia ikiwa inaendelea kushika kasi siku hadi siku, chumba hiki maalum kilichojengwa juu ya safu za milima ya Alpine iliyopo Ufaransa kimepata kuwa kivutio kikubwa kwa watalii wanaotokea sehemu mbalimbali Duniani kutokana na staili ya aina yake walivyokitengeneza kwa kutumia  vioo vilivyozunguka kichumba hicho kidogo  hivyo kumuwezesha mtalii kuona kama vile yupo juu ya Dunia.

Image

Unaambiwa sio rahisi kwa mtu mwenye roho nyepesi kuweza kusimama kwenye kichumba hicho kidogo kutokana na kuwa kileleni mwa mlima Alpine takribani  umbali wa  mita 3800 kutoka usawa wa bahari ambapo utengenezaji wake ulichukua takribani muda wa miaka miwili na ada ya kutembelea kwenye kivutio hicho ni kiasi cha Euro 55 ambazo ni sawa na Tsh 80,000 bila chenji.

Unaweza kutazama video fupi inayoonyesha maajabu ya kivutio hicho

Advertisements

66 thoughts on “PICHA NA VIDEO : CHUMBA CHA MAAJABU KILICHOPO JUU YA DUNIA.

  1. maajabu haya yote ni ishara kuwa ulimwengu sasa upo katika zama za mwisho kwa maana tuliambiwa tutaona mambo ya ajabu yakitokea na hata mengine yakitengenezwa na wanadamu

  2. Hizo ni dalili za mwisho napenda kuuliza swali kwamba ni mnyama gani ambae alibadilika kuwa
    binadamu? na kama yupo aliye mshuhudia nani? na walibadilika wangapi? na kwasasa mbona hawabadiliki? je,aliye mshuhudia adam kwamba alitoka mbinguni ninani? naomba jibu nitumie hata ujumbe namba hizi>:0683636362
    >:0768666082
    >:0655666082.

  3. Kama Wameweza Kujenga Chumba Angani Basi Tuta Ambiwa Tena Wameweza Kupanda Busitan Angani

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s