PICHA ZA WEMA SEPETU NA DIAMOND KATIKA MAPOZI YA KICHOKOZI NCHINI CHINA

Blogu ya larrybway91 imezinyaka picha za mwigizaji nyota wa Bongo Movie, Wema sepetu na Mbongo Fleva Diamond Platnumz wakiwa kwenye mapozi tofauti ya kimahaba huko Hong Kong nchini China.

Wawil hawa  inasemekana wamerudiana baada ya kuonekana wakiwa klozi kupitiliza sambamba na kupiga picha za kichokozi wakiwa chumbani na kwenye mitaa nchini humo.

Je, ni kweli Diamond alimaanisha kwa herufi kubwa aliposema kamwe hawezi kumuacha penny ambaye ndiye mpenzi wake wa sasa??? Wacha Muvi iendelee

Image

Image

Image

Advertisements

38 thoughts on “PICHA ZA WEMA SEPETU NA DIAMOND KATIKA MAPOZI YA KICHOKOZI NCHINI CHINA

  1. jaman wa tz mapenz si yaoo,nyie yanawauhusu?,mbona we atujasema picha zako na yulee kwamba mko wapenz

  2. Mxema ukwel mpnz wa mung diamond na wema mnaendna xana pia nawapenda xana xio movie kwa wema wala music kwa plutnumxx npo vzur kwa ushabik juu yenu

  3. Diamond uximuache wema wa watu coz mnaendana xana xo plz hpo tulia ufanye mambo ya mariage tu wale waxio amn bhx watamn hla ukienda tofaut na hpo utatuboa mashabik wko!!

  4. Kiukwel Mim ni shabik wa (Alikiba) ila ningependa. kutoa maoni kwai habali malanying Diamond kunekana. mkorfi saaana. ao ana mtema. wema. kwasabab Wema. sio SIZE wa Diomond kuonekan mdogo saaaana. mbele ya Wema

  5. ila kiukwel shukran ya punda ni mateke wema ndo kamtoa diamond kimzik ila dah anachomfanyia ni unyama

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s