KICHUPA KIPYA : DIAMOND PLATNUMZ – MY NUMBER ONE [Official Video]

Image

Kuwa wa kwanza kutazama video mpya ya Diamond Platnumz ”My Number One” iliyofanywa nchini Afrika kusini na kampuni ya Ogopa Video

Advertisements

4 thoughts on “KICHUPA KIPYA : DIAMOND PLATNUMZ – MY NUMBER ONE [Official Video]

  1. Namkubali huyu dogo, alipoanza mwanzo si kuwa suppoter wake, ila bidii zake zimevuta hadi kuwa shabiki wake. Hakurupuki, akitoa kitu anaweka kitu. Wanmuziki wengi wakibongo wanakurupuka kufanya videos yaani hzivutii hata kidogo..labda mtaji ni mdogo.. Big up Diamond

  2. Uko juu kaka endelea kukaza but il ucishie hapo mm n shabk wako mkubwa 2. Nakutakia her na fanaka kwa mwaka 2014 na uwe n mwaka wa mafankio kwako. Bt punguza skendo bro kwan znakupunguzia cv kwa mashabj wako ila ukiwa na cs wema inapendeza xana. Nakutakia ucku mwema.

  3. Nimeukubaki sana kaka angu na nitazidi kukubali mpaka kifo kikikubeba,ila ningefra ungeowa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s