HAWA NI MASTAA WAKUBWA WALIOZALIWA MWEZI NA TAREHE KAMA YA LEO 06 AUGUST.

(1.) Robbin Van Persie(30) – Manchester United Striker.

Katika Listi yetu ya Mastaa wakubwa wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wa kwanza ni Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United anayeitwa Robbin Van Persie A.K.A RVP ambaye ni mchezaji wa Taifa wa timu ya Uholanzi.

Mchezaji huyu alizaliwa mnamo mwaka 1983 Tarehe 06 August katika eneo moja linafahamika kwa jina la Rotterdam nchini Uholanzi hivyo anatimiza nyundo(miaka)  zake  (30) kamili.

(2.) Travie McCoy(32).

Kama wewe ni Mpenzi wa Burudani ya muziki bila shaka utakuwa unamfahamu mwanamuziki huyu wa kimarekani Travie McCoy ambaye anatokea katika kundi la HipHop la ”Gym Class Heroes”.

Mwanamuziki huyu alizaliwa mwaka 1981 Tarehe 6 mwezi August na leo anatimiza umri wa miaka 32 A.K.A  nyundo 32 Cash.

(3.) David RobinSon(48).

Nambari Tatu anakamatia Mchezaji kikapu wa NBA anayekwenda kwa jina la David Robinson ambaye alikuwa akichezea timu ya San Antonio Spurs, alizaliwa mwaka 1965 tarehe na mwezi kama wa leo ivyo anatimiza miaka (48).

 

 (4.)Marisa Lee Miller
 
Kwa wale wapenzi wa Fashion bila shaka watakuwa wanamfahamu huyu mwanadada Merisa Miller ambaye ni model wa Victoria’s Secret ambaye amefanya kazi na kampuni kubwa mbalimbali pamoja na magazine.
Merisa amezaliwa mwaka 1978 tarehe na mwezi kama wa leo ivyo basi anatimiza miaka 35 tangu kuzaliwa kwake.
 

 

 

 

 

Advertisements

One thought on “HAWA NI MASTAA WAKUBWA WALIOZALIWA MWEZI NA TAREHE KAMA YA LEO 06 AUGUST.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s