TAZAMA PICHA TATU ZA NGUVU ZIKIMUONYESHA STEVEN KANUMBA JR AMBAYE AMEZALIWA NA DADA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

 

Image

Image

 Image

Baada ya kupita mwaka mmoja tangu nguli wa filamu nchi afariki marehemu Steven Kanumba, nyuma yake bado ataendelea kukumbukwa hasa katika familia yake kwani dada wa marehemu Steven Kanumba amejifungua mtoto na kuamua kumpatia jina la Steven Kanumba Jr ikiwa ni moja ya kumuenzi kipenzi kaka yao huyo.

Muigizaji nyota wa Bongo movie Elizabeth Michael maarufu kama lulu alikuwepo pamoja na mama yake mzazi hospitalini alipojifungua dada wa marehemu kanumba ikiwa ni moja ya kushow love na kudumisha upendo.

Advertisements

103 thoughts on “TAZAMA PICHA TATU ZA NGUVU ZIKIMUONYESHA STEVEN KANUMBA JR AMBAYE AMEZALIWA NA DADA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

 1. Halafu kwa ushauri wa bure, ningemsihi LULU atulie kwa sasa asiwe na kiherehere, Asikwambie mtu usidhani the Kanumbas wamemsamehe kihivyo, wakimuona tu wanashtuka na kupata machungu. Yeye atulie asiwe na ujuzi mwingi, she is young she needs advice from good friends kama ni mpokea ushauri. Kuna siku nimekutana naye, nikamsalimia hujambo Lulu, my God alinidis na kusema nimekosea yeye si Lulu, du niliona noma nikasema huyu hajui sisi ndo fans wake tunaonunua kazi zake? leo anawaletea mashabiki dharau? I was so disappointed nikasema huyu bado kumbe rumande haijamfunza

 2. Mungu Awepamoja Nasi Na Atupende Kwa Kila Jambo Tunalo Lifanya Na Ktk Comenty Yangu Na Penda Kusema Nampenda Sana Mpenz Wangu Vairety Nae Pia Ananipenda Na Mbele Yamalafiki Zangu Wote Wanao Nijua Mm Kolinely Kama Mpenz Wangu Utabahatika Kuona Comment Hii Kwa Fulaha Yamoyo Wangu Nakupenda Sana Mpenz Wangu Vairety

 3. diamond achakumpa kashfa mbaya mwenzako kisa kajenga ajamalizia waanza kupost mambo yaajabu acha izo ally kiba uk pw mjengo wako nimekubali kunawatu awapendi maendeleo 1love ally kiba big up kwa house yako ik pw

 4. Alikuwa ni mtu mwenye kuona mbali!
  Pia naamini atakumbukwa daima!
  Endelea Kupumzika kwa Amani Brother!

 5. Hey guys nataka nianze kwa kumupa sifa zake mwenyeziMUNGU kwani bila yeye mi na nyie tusingekuwepo, nadema hiv: sifa zote na utukufu vimuendee mola wetu kama tuko pamoja sema AMINA. narudi ktk mambo yetu ya bongo sasa: jamani nawaomba fans wote punguzeni coments za kuonyesha kua huenda kuna kisasi kinaweza tokea kati ya familia ya marehemu na Lulu, hilo hilitakiwi kwahio musiliweke mbele kbla ya kuwapa moyo ili waweze kwendelea safari ambayo hatujuwi nani atatangulia kufika NB: munaweza tabiri yenu lakini kumbukeni MUUMBA WETU ndio muamuzi. nimetoa coment hii baada ya kuzisoma zenu na napenda nijitambulishe hasa: mimi niliwahi ka na marehemu tukapanga mambo ya kazi na ye kuniweka karibu yake sana lakini hatukufanikiwa kuyafikia malengo yetu huu ni mfano mdogo tuu wa kuwaonyesha kuwa siku zote binadamu tuna kikomo, kwa wale ambao hawajanielewa zaidi munaweza muuliza ZAKAYO MAGULU eti WILLY ni nani coz kipindi hicho naye kaisupport idea yetu but… MOLA wetu kaipiga x which means we don’t know and we can’t know abt our future. bye nawapenda nduguzanguni kwa wale wangependa ushauri bule 0674476418

 6. Inapendeza Xana Tenaxn
  Nakama Stivin Kanumba Angekuwepo Angemuona Mjomba Wake Angefulai Xna,
  Eeeeh! Mwenyezi Mungu Mlaze Mahala Pema Kanumba

 7. hakuna chenye mwanzo kikakoswa kuwa na mwisho,ni kweli bado tulihitaji uwepo wako,kushauri,kuendeleza sanaa na kuboresha sanaa ktk filamu za kibongo.bado wiki kadhaa kujikumbusha siku ya kifo chako,iliandiliandikwa kila nafsi shart ionje mauti,bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe salala kwa amani steven charles kanumba

 8. Remigi malunda. From ifakara, moro , tanzania: Tutakukumbuka na kukuenzi milele amina.

 9. mimi pendekezo langu,lulu endelea kuienzi hiyo familia ya kanumba na tena siyo kuienzi,wewe ni ndugu kabisa,yote yaliyo tokea ni mipango ya mungu,na sisi uwelekeo ni huko huko.na tena mimi ni mshabiki wa filam zenu,poleni sana.

 10. Thunk, God if God us bless you BABY Boy, and your called him your BROTHER is Name may GOD BLESS you to show LOVE to your brother.

 11. kwel malehem kaka yet kipenz kanumba tutakukumbuka daima milele ujumb bwana ametoa na jina lake liimidiwe

 12. sisi sote tunamukumbuka daima mungu amulaze mahali pema peponi ni moses wa congo rdc sud kivu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s