RAPPER CHIEF KIEF AJIUNGA NA LEBO YA 1017 BRICK SQUAD INAYOMILIKIWA NA RAPPER GUCCIMANE.

  Chief Keef.

Rekodi lebo maarufu inayofanya vizuri kunako gemu ya muziki inayofahamika kwa jina la 1017 Brick Squad Record ambayo inamilikiwa na mwanamuziki Guccimane ambaye ni  nguli wa muziki wa HipHop.

  GucciMane

 Guccimane ametangaza rasmi katika mtandao wa twitter kwamba wamemsaji Rapper kutoka pande za chicago Chief Keef(19) ambaye mashabiki wake wanamfahamu kwa jinsi alivyokuwa na fujo na vurugu zake, hata ivyo iyo haijawa sababu ya Rapper Guccimane kuacha kumchukua kwani Rapper Chief Keef anakipaji cha hali ya juu na mmoja ya rapper wachanga ambao wanaokuja kwa kasi ambaye anatokea katika jimbo la Chicago Marekani, Baadhi ya Rapper wakubwa ambao wapo katika Lebo ya Brick Squad ni kama Wacka Flocka Flame, Young Scooter, Lil Bitz na wengine wengi..

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s