HAWA NDIO WACHEZAJI GHALI ZAIDI DUNIANI UPANDE WA MPIRA WA MIGUU..

             CHRISTIANO RONALDO KWA TIMU INAYOMTAKA INATAKIWA KULIPA €1 BILLION

Image

Kila mchezaji anayo bei yake, ingawa vilabu vimekuwa vikijaribu kila njia kuweza kukaa na  wachezaji wao muhimu, lakini siku zote inakuwa ngumu jambo lililopelekea kuwa zinawawekea vipengele vya beighali ikiwa kuna klabu itakuja kuwataka kuwanunua wakiwa bado kwenye mkataba husika.  
 Kupitia utafiti mdogo uliofanyika tumeweza kugundua na kupata kujua ni wachezaji  gani wanaongoza kwa kuwekewa vipengele vya kuuzwa fedha nyingi kuliko wenigne.

 

Cristiano Ronaldo
€1bn

Image

 

Lionel Messi
€250m

Image

 

Fernando Torres
€127m

Image

 

Hulk
€100m

Image

 

Thiago Alcantara
€100m

Image

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s